Moyoni minakosa raha
Moyoni minakosa sana
Na kuna watu wanasema niwache na mziki miye
Na kuna watu wanachonga kwamba mimi sifai
Haki ya mungu wanavofanya minakosaraha
Ndo maana kachaa moyo inaniuma sana
Wengine wao wanasema
Nyimbo zangu hazipigwi bila ya hela
Nimewashitukia ndo maana nakosaraha
Ni kachaa lakini nitandika paka daftari itachanika
Minakosaraha kila dakika jamani
Minakosaraha haki ya mungu jamani
Navyo penda na mziki wengine wanakandia
Niwe tena marafiki wengine wananishushua
Na mziki wangu kama king na yake stick
Na wanaweka na viringi yangu tena riziki
O kweli mimi minakosa minakosa raha
Upenda sana maporojo sijui sababu zao
Kila siku wana uwongo wananichonga ndani ya midomo yao
Minakosaraha kila dakika jamani
Minakosaraha haki ya mungu jamani
Maskani nimeimba paka watu wameona keraha
Yanafanya niwe miye awe watu wawe na furaha
Kwa sababu ya machungu imenifikie mi
Kila siku unatuimbia mbona kwenye TV hatukuoni
Usanii haiwi hivo, unavunja mwiko
Usanii siyo jiko kama unavyosema nyie
Ndoo sisi makachaa na maundagraundi
Tunavo taabika sana
Ukipelekwa na CD hazipigwi zinavobaguliwa sana
Love What You Are Doing, You Are Blessed, & Absolutely Gorgeous, Very Beautiful Woman. I Pray All God's Divine To Bless You For Eternity. Love, Respect, & Support. Dead Eye B. C.M.P.